![Mfalme Wa Amani](https://source.boomplaymusic.com/group2/M0C/7C/4E/rBEeqF2a58WAJhK4AACIVYI5jXI009.jpg)
Mfalme Wa Amani Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2017
Lyrics
Mfalme Wa Amani - Solomon Mkubwa
...
Leo nikasema nilikuwa kijana sasa ni Mzee,×2
Sijawai ona mwenye haki ameachwa miee,
Wala watoto wake kuombaomba mikate barabarani,
Mungu ni mwaminifu Kwa ahadi zake wanadamu,
Mungu ni mwaminifu Kwa ahadi zake si kama wanadamu ooh,
Akiongea Yesu Ameongea aaah
Akikuhaidia kitu Baba ameahidi na utasikiaa,
Atatatenda Kwa wakati wake yoyoyo,
Ninamwita Bwana wa Amani,Ninamwita Mfalme wa Amani Bwanaaa,
Ndio maana Mimi ninaimba Kwa Sababu ya Amani yake,
Ni uwezo gani unaompinga Yesu,uwezo gani×3
Usilie×3 wewe,usilie Bwana anakujua ndugu yangu,amesikia kilio chako wewe mama,
Unalia nini Kwa waanadamu,wanadamu hawatakusaidia na kituuuu,wanadamu hawatakuwezesha Kwa kitu chochoteee,
Kunaye mumoja anayepanguza machozi ya watu wake,ni Yule Mfalme wa Amani iiih,ni Yule aliyesema yote yamekwisha aaah
Anajua shida yako mama aaah,anajua magumu ya Baba yangu uuuh
Ukiwa na shida usiende Kwa waganga wa dunia aaah,ukiwa na shida usiende Ka wakuu wa dunia aaah
Muite mufalme wa Amani eeeh anajubu maombi×2