
Mwambie Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2019
Lyrics
Mwambie - B2K
...
Arudi nyumban mabaya alofanya nishafuta.
Star big boy
mwenzenu silali moyo wake bado ataukuta.
Umesahau tulikoka zamani dharau na mateso tuliopita ndani.
Nakutukana hujapika mama wakati hata pesa sikuacha ndani.
Kama ni maisha magumu nivumilie ili tupendane.
Vibaya mwisho nakulaumu ulivumilia wewe.
Naukisema hunipendi roho itauma mwenyewe mwenzio hili vurugu la mapenzi ntalichukia mwenyewe mimi NO.
CHORUS
Mwambieeee
"arudi nyumbani mabaya alofanya nshafuta"
Kamwambie
"mwenzenu silali moyo wake bado ataukuta"
Mwambieee
"arudi nyumba mabaya alofanya nshafuta.
Kamwambiee
nakubaya ni vikombe sembuse binadamu tunapita.
sa leo nabugia mapombe mibagi yote hii kwa sabab yako we
hasa pale nakuona umnyonge najisi ulivyofanya nikuzoee
penzi letu halijajiibia ni kama ndoo kwenye sinia
ulohisi kukuacha njian usije hisi huwa nakuibia
naukisema hunipendi roho itauma mwenyewe mwenzio
hili vurugu la mapenzi ntalichukia mwenyewe mimi na we
mwambiee arudi nyumbani mabaya alofanya nishafuta
kamwambie mwenzenu silali moyo wake bado ataukuta
mwambieee arudi nyumbani mabaya alofanya nshafuta
kamwambie nakubaya vikombe sembuse binadamu tunapita. × 2
INSTUMENTAL
Mix mixer