
Mama Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2019
Lyrics
Mama - B2K
...
uh uh yeah,star beat boy
picha ya dunia ina mengi mama
hila mwanao nimekumisi sana
mwanao umaarufu ndo unaanza mama
nitumie malaika waniongeze vyema
naskia umaarufu ndo unaponza ujana
nitajitahidi niutumie vyema
BRIDGE
ukisema yes siku moja
najua mambo mengi yatanyoka
nikumbuke na mwanao siku moja
ya dunia yako mengi nayaona
sema hata neno la mwisho mama wee
kwa wengine ni furaha hila kwangu ni kiliooo
ukuaji wangu changamoto,haikuwa rahisi I say
hila shukrani kwa ndugu,upendo ulifanana nawe ehe
CHORUS
ah nikuambie...ya dunia ina maumivu sana
nikuambie...baba aliondoka mama
nikuambie...dada alofuata jamaa
sijui kama mnakutana x2
mnavofanya maombi huko mniombee na mimi aha
mzitume hata nafsi na roho zikae na mimi
nawaona wengi wakiwatesa aha...,mama zao bila huruma aha
hawakumbuki walikotoka aha,mi nikaa roho inaniuma aha
japo kuna watu walitaka nife nizikwe
hila bado napumua
naomba niepushe na roho za baya
wasio na haya
kwenye kazi nipige tour
BRIDGE
CHORUS x2