
Haiwezekani Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2023
Lyrics
Haiwezekani - B2K Mnyama
...
Anhaaa Star beat boy The bad number Anhaaa aah...! Mmmh Najiono mimi nina bahati ya kupendwa Najiona nimepata pumziko hakuna kwa kwenda Najiona kazi nimeimaliza ya kupenda Waambie umepata pumziko wa kula na kwenda anhaa...! Ni chemshe chai we ndio upike mchana Kama unavyo jua kazi kusaidiana Tuwe marafiki wale wanaogombana Sisi sio shida zetu Pika chukuchuku wao wa pike nyama Ratiba zetu sio za kufanana Tule vitamu kama wao bwana Sisi tuna ratiba zetu sawaa.. Wanatamani upendo uishiage katikati Sawaa... Ndio kwanza mambo yanazidi taradadi yoo... Sawaa... Tukae kimanga wao wawe katikati ya jiji Sawaa.. Piga kipara achana na fashion za wigi Haiwezekani Nipigwe na baridi eti kisa nimekuacha wewe Haiwezekani Na hivyo nyuma umechorwa we ndio ulimaliza Udongo Haiwezekani Nipigwe na baridi eti kisa nimekuacha wewe Haiwezekani Na hivyo nyuma umechorwa we ndio ulimaliza Udongo Aaah... Onanaah... Onanaah Naah... Aaah... Babe nitakupa vyote ukitaka moyo beba Oooh beba Yani hawatusumbui hata mtaa huwote beba Au unataka nikuongeze mali hata hii dunia beba Oooh beba... Yani mi nipo ngangali yanifanya utacho penda Ukitaka nikuogeshe babe unasema Niwe nawee... Panga ratiba ata iwe kazi ndani nitafanya Niwe nawe Ukitaka nikuogeshe babe unasema Niwe nawee... Panga ratiba ata iwe kazi ndani nitafanya dear Niwe nawe Aaaaah aah... Sawaa.. Wanatamani upendo uishiage katikati Sawaa... Ndio kwanza mambo yanazidi taradadi yoo... Sawaa... Tukae kimanga wao wawe katikati ya jiji Sawaa.. Piga kipara achana na fashion za wigi Haiwezekani Nipigwe na baridi eti kisa nimekuacha wewe Haiwezekani Na hivyo nyuma umechorwa we ndio ulimaliza Udongo Haiwezekani Nipigwe na baridi eti kisa nimekuacha wewe Haiwezekani Na hivyo nyuma umechorwa we ndio ulimaliza Udongo... @avenyaclassic.