
My Valentine Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2022
Lyrics
My Valentine - B2K
...
star big boy, aah aahhh
fanya kitu washangaeee
kipenzi changu wajue uko tofauti
na waleeeee
walonijaza hasira
moyo wangu nawaambia hatuwezi
kuchana
baby unaonaje,
wanatusema sisi tunaongeza mahaba
na watanunaje pia maana kila ninachosema hakiwezekani kwa sasa
niko na ua zuuuriiii
hili linaongeza mapenzi
nikiliona tuuuu
na usingewaza kuna kitu siwezi kusahau
nakupenda kweli
siwazi tuuuu
(aaaaaahhhhh)
watawezaje
(kulivunja hili penzi)
watawezaje
(mimi na wewe)
aaaah aaaah
watawezaje
iiiiii aaaah
valentine valentine
your ma valentine
yaani wee wa mieeee
valentine your ma valentine
eeeh nikwambie utulieeee
valentine your ma valentine
halili yangu mie
valentine valentine
aaah aah aaaa
basi ukiwa unacheka cheka unang'ata kidole
hiyooo nkwambie
na hapo ndo unaniteka
nakuwa mpole nkwambie
na vile mteratibu unanifanya nisihangaikeee
funika bisa unantibu unanillinda nisidhurikeeee
nakubali moyo wangu nakupa chukua
kukosa mapenzi we mwenyewe unajua
umeniteka siambiliki haijawahi punguwa
(raahaaa)
watawezaje
kulivunja hili penzi
watawezajeee
wewe na mieeee
watawezaje
aaah aaahhhhh
watawezaje
iyeeee eeee
your ma valentine
valentine
valentyine your ma valentine
wewe wa mieeee
your ma valentine
nkwambie ntulieeeee
valentine valentine your ma valentine
halali wangu mieeeee
valentine valentine your ma valentine
@by msalati