
Maumivu Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2022
Lyrics
Maumivu - B2K
...
B2k maumivu
Star beat boy
Aaaaah aaaaah aaaaah
Its canibar
Na ndio maana wee ndo ulisababisha niwajue wengi
Na ukanifundisha mambo mengi
Ety hata nikiondoka wee huna muda wa kuchukiaaa
Oooooh mamaaa
Kumbe nlokufanyia na wewe huyapendi???
Wee ulinilingia na hunipendi
Sasa mbona unagombana na wangu mpenzi
Unakosea
Wee ulihisi umeniacha na nyota ya ubaya yako imenyooka na iko sawa
Umenyong’onyea na unachojionea
Kama ibilisi majibu yako ndo haya
Umedanga danga huko umepwaya
Mavuno yako haya pokea
Ratiba yako ipo vipi ya mimi na wee kuongea
Mbaka weekend uko daycare wanafunzi wengi mi nlikucare kumbe haupendi
Inauma sana
Mauuuuumivu
Mauuuuumivu
Maaaaaumivu
Maaaauuumivu
Ya mapenzi ubaki kusikia tuuu
Mauuuuumivu
Mauuuuumivu
Maaaaaumivu
Maaaauuumivu
Ya mapenzi ubaki kusikia tuuu
Melody
Naskia kwa mashoga zako unavoongea
Miii mume wa ndoto zako nimepotea
Nikikumbuka ratiba zako nanyong’onyea
Wee bendera unafata upepo unapoelekea
Ulikua wa maonesho unajionea
Ety leo yamekukuta nakuonea
Naa
si ulisema haunihusu mimi
Huo wivu unaonionesha kwanini
Endelewa na mambo yako sio mimi
Hautaki kuongea saa machozi unayabubujisha kwanini
Si ulisema nikusahau mimi
Nlifata maneno yako lakini
Ratiba yako ipo vipi ya mimi na wee kuongea
Mbaka weekend uko daycare wanafunzi wengi mi nlikucare kumbe haupendi
Inauma sana
Mauuuuumivu
Mauuuuumivu
Maaaaaumivu
Maaaauuumivu
Ya mapenzi ubaki kusikia tuuu
Melody
Mauuuuumivu
Mauuuuumivu
Maaaaaumivu
Maaaauuumivu
Ya mapenzi ubaki kusikia tuuu
Its your favorite sound
By official mimah