
Hayabadiliki Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2022
Lyrics
Hayabadiliki - B2K Mnyama
...
Star big boy
Mwezenu nimeachwa Jana
na leo nimeshapendwa
Mapenzi yanahitaji ukamandoo
no retreat no surrender
natena ukifanya baya moja
unapoteza wema uliotenda
yanini kuujinyonga unywe masumu
ukinichoka unakwenda
Waliyakuta nasii 2meyakta
(hakunajipya kwenye hii dunia)
walijitiana nasi 2najitiana
(ni yaleyale yanajiludia)
ndo maan a sishangai
nikiombwa sana pesa
(kuluko msamaha)
Thamani ya suit tai soksi
isikupe presa (kuwamakini sana)
hayabadiliki mapenzi
hayabadiliki
unaweza tendwa
ukapendwa tena
hayabadiliki
hayabadiliki mapenzi
hayabadiliki unaweza acha
ukapenda tena
hayabadiliki
....
Tena siku hizi biashara
wanauliza unabei gani
nakama kwamfuko umechalalaš¤£š¤£
humpati wakuweka ndani
mapenzi ya sasa
2napendana usiku
mwisho kunavyokucha ee
sikuhizi Yana saa tu
piga nikupige
hakuna kuweka future ee
waliyakuta na si 2meyakuta
(hakunajipya kwenye dunia
walijitiana nasi )
tunajitiana ni Yale Yale yanajirudia
ndo maan sishangai
nikiombwa sana pesa
(Kuliko msamaha)
thamani ya suit tai soksi visikupe presha
(Kua makini sana )
hayabadiliki mapenzi
unaweza tendwa
ukapendwa tena
hayabadiliki
hayabadiliki mapenzi
unaacha ukapenda tena
hayabadiliki