Wala Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2020
Lyrics
Wala - B2K
...
Zile route za nenda rudi uliona ka utani
Kumbe unafanya makusudi kuangalia pembeni
Zawadi zangu eti nigawe nitoe za kantani
Na zile hodi hodi za nini zinakutoa mudini
Elewa sina tunza mia mia za kuuza karanga
Niwe mwashi nashindwa kukudanganya na bonge la nyumba
Elewa sina tunza mia mia za kuuza karanga
Niwe mwashi nashindwa kukudanganya na bonge la nyumba
Wala
najua hata hatuendani
Wala
nawakilisha moyoni
Wala
najua hata hatuendani
Wala
nawakilisha moyoni
Njoo nikuonyeshe na kazi yangu, nahisi utatulia
Uyachunguze maneno yangu maana utanielewa
Uniongeze furaha isiwe utani Aaah aaah
Pengine itageuka uwe wangu hunny Aaah aaah