Lakini Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2020
Lyrics
Lakini - B2K
...
star beat records
stra beat boy
Naroh
aah! nimejaliwa moyo sijui ukoje
unapendaga kote sijui ikoje
niwe muwazi nisije ficha
kweli mimi home namwenzio
nakama umependwa
sema
ukweli unajenga
mapema
niwe muwazi nisijefika
wakati we umebaki na funguo
ili nizugezuge nikiwaona
niji fichefiche kwenye kona
mi fisi nikiforce nyama nitapaliwaa
aahh
ila ndo ujichunge sana
nisione unachofanya
nikiona unachofanya nitaumia
aah aah
chorus
lakini sijui nipoje nitoe moyo nitupe huko
na mimi ila macho yana bakia nayo bado vituko
lakini sijui nipoje nitoe moyo nitupe huko
na mimi ila macho yana bakia nayo bado vituko
Ila moyo koma kuhangaika
kumbe nyumbani wana boreka
hata mtaani wananicheka
sijui nipoje
kule nilisema I love you na huku I love you
shikamo mapenzi unaahisia ngapi?
vile nimependa kule na huku nimependa eeh
ili nizugezuge nikiwaona
niji fichefiche kwenye kona
mi fisi nikiforce nyama nitapaliwaa
aahh
ila ndo ujichunge sana
nisione unachofanya
nikiona unachofanya nitaumia
aah aah
chorus
lakini sijui nipoje nitoe moyo nitupe huko
na mimi ila macho yana bakia nayo bado vituko
lakini sijui nipoje nitoe moyo nitupe huko
na mimi ila macho yana bakia nayo bado vituko
MKWIZU
IG @AVENYA CLASSIC