![Nimuimbie Nani](https://source.boomplaymusic.com/group1/M0B/2D/1F/rBEehl1jmx2AShVRAACFMha59Gk244.jpg)
Nimuimbie Nani Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2019
Lyrics
Mengi kanifanyia ndio maana mpaka leo namtunza
Wengine ngumu kujua nilichozama aah
Ogopa zaidi ya akilia ayaya
Akiamini namtenga
Ndugu zake walishagombana
Kisa pendo kulinda
Navumilia shida ndo maana sometimes nalia mwenyewe
Wanajiuliza vipi tokea eti nitengane na yeye
Ni mvumilivu,sijawai ona kama yeye
Nampenda kumuacha siwezi
Ah nimuimbie nani?Kama sio yeye, yeye
Nicheke na nani? Kama sio naye
Nimuimbie nani? Kama sio yeye, yeye
Nilie na nani? Kama sio naye
Ndani ya moyo nina kitabu ninahifadhi mapenzi yote
Naamini utanipenda siku zote sitokufanya ujute
Siri zangu Mwifadhi siri ni wewe
Hata hamu yangu Wa kunistiri ni wewe
Waogope walimwengu,Wana maneno ya kara, unaweza ukalia
Wana maneno chungu ya kukatisha tamaa penzi likapotea
Kwanza mimi nakwamini tena unajua kiasi gani
Wewe umeridhika kuwa nami unaniamini
Geuza macho yako usiangalie chini
Muda wa kusema na mimi Aiyoyoyoyo, yoyoyoyoyoyo
Ah nimuimbie nani?
Kama sio yeye, yeye
Nicheke na nani?
Kama sio naye
Nimuimbie nani?
Kama sio yeye, yeye
Nilie na nani?
Kama sio naye
Mmmh basi njoo
Nakupenda mwenzako
Basi njoo Unipe raha zako
Basi njoo ooh oh
Nakupenda mwenzako
Basi njoo Mmmh mmmh..
Ah nimuimbie nani?
Nicheke na nani?
Oooh nimuimbie nani?
Oooh nilie na nani? Ayee..
--- www.LRCgenerator.com ---