![Muda ft. Vanillah & Alikiba](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/11/13/49c875edf3524b65bb29afb088a801c1_464_464.jpg)
Muda ft. Vanillah & Alikiba Lyrics
- Genre:Amapiano
- Year of Release:2023
Lyrics
Muda ft. Vanillah & Alikiba - Abdukiba
...
...instrumental beat...
Nikiona zinanipandisha midadi
Nikiona pesa zinanipandisha midadi
Nikiona zinanipandisha midadi
Nikiona pesa zinanipandisha midadi
kama kununa nishanuna sana ni Muda wa kucheka(aahhh)
kama kulia nishalia sana ni Muda wa kucheka (aahhh)
kama kununa nishanuna sana ni Muda wa kucheka(aahhh)
mimi nishalia sana ni Muda wa kucheka (aahhh)
shida za nini we usikonde
mwembamba ka Mimi au kibonge
njoo tuchome madini we usikonde
tararira tara eyiiiiiii
Sasa ni tarehe za mshahara na starehe(na starehe) x4
nikiona zinanipandisha midadi
Nikiona pesa zinanipandisha midadi
Nikiona zinanipandisha midadi
Nikiona pesa zinanipandisha midadi
yaahh
Muda Muda Muda ndo huu Muda wa kucheka
nacheka nacheka kucheka nacheka huu Muda
nishachoka sana huu ndo Muda wa kucheka
na maokoto ya mwezi mwezi mwezi naenjoy
Sasa ni tarehe za mshahara na starehe x4
nikiona zinanipandisha midadi
Nikiona pesa zinanipandisha midadi
Nikiona zinanipandisha midadi
Nikiona pesa zinanipandisha midadi(oohh)
zinanipandisha midadi
The mix killer