Single ft. Alikiba Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2019
Lyrics
Single ft. Alikiba - Abdukiba
...
Sina nguvu kanifunga kamba kwenye reli
Sina jinsi anajua Bado ni tapeli
ye hajui tu mazoea Yana shida yake
na Kila kitu sababu ni yeye
nilikuwa nalewa (single)
na Raha sana (single)
nilikuwa nagawa pesa nyingi sana
nilikuwa nalewa (single)
na Raha (single)
nilikuwa nagawa pesa nyingi sana
Single analia
single anaumia
single anaonewa
single yoyoyoyo
Single analia
single anaumia
single anaonewa
single yoyoyoyo
Hakuna mtu anapenda penzi la kejeli
Na Kila siku nilale huruma na feli
Na unajisifu umenikamata kweli kweli
we mtakatifu umeumbwa kupendwa wewe
nilikuwa na Raha
sasa karaha sana
nimekuwa mtumwa
na boss ni wewe
nilikuwa na Raha
sasa karaha sana
nimekuwa mtumwa
na boss ni wewe
Single analia
single anaumia
single anaonewa
single yoyoyoyo
Single analia
single anaumia
single anaonewa
single yoyoyoyo
single analala
single analalamika
analia sana oooh
single anaumia
single anaonewa
single analala
anaonewa
single analalamika sana
single anaonewa
WRITTEN BY @vonalisboy