
Sokomoko ft. Maua Sama Lyrics
- Genre:Pop
- Year of Release:2022
Lyrics
Sokomoko ft. Maua Sama - Abdukiba
...
sama .........
foxx madeit
uyeeeh uuh uuuh
makolo makolo.
awatuwezi makolo kolo makolo
wenye chuki makolo. kolo makolo
kolo lolo oooh
hawaliwezi tifu timewakata
midundo takatifu tume washa taa
zima koroboi washa mshuma
nazidi kupepea nyota imeng’a aa eeh
(Maua sama)
mi kwako zoba zoba umenikolea
ma baby slow down slow down
unanipa nanogewa
moyo unanienda mbio
chochote utacho sema ndio
maneno yao sumu sio
tisa kumi wote zero
(Chorus)
sokomoko ‘ ‘ eeeh ‘
sokomoko koo ‘ ‘ nalewa ‘
nikitaka kidogo ‘ ‘ eeeh ‘
kidogo goo ‘ ‘ napewa
sokomoko ‘ ‘ eeeeh ‘
sokomoko koo ‘ ‘ nalewa ‘
nikitaka kidogo ‘ ‘ eeeh’
kidogo goo ‘ ‘ napewa
(Hook)
makolo makolo
hawatuwezi makolo kolo makolo
wenye chuki makolo
(Abdukiba)
ado Ado
ipeleke kwa juu
ipelembe ipalaze kwa huku
iteleze kilegeze pa kavu
napenda michezo unanipeleka lafu
twalicheza goro goro ndomboro ya solo
hatupashi vipolo
mwali ana kula solo ooh
(maua Sama)
Tunawaka waka waka oyeeh
mbona pambe pambe ayaah
tunawadabisha wale
wengi wanaona donge ayaah
mi kwako zoba zoba umenikolea
ma baby slow down slow down
unanipa nanogewa
moyo unanienda mbio
chochote utacho sema ndio
maneno yao sumu sio
tisa kumi wote ma zero
Chorus)
sokomoko ‘ ‘ eeeh ‘
sokomoko koo ‘ ‘ nalewa ‘
nikitaka kidogo ‘ ‘ eeeh ‘
kidogo goo ‘ ‘ napewa
(Hook)
makolo makolo
hawatuwezi makolo kolo makolo
wenye chuki makolo
(Maua Sama)
makolo makolo
hawatuwezi makolo kolo makolo
wenye chuki makolo
eeeeh eeeh yaaaah eeeeh eeeh yaaah
Ooh na nana eeeh eeeya
Abdukiba Feat maua Sama
sokomoko official audio lyrics
Lyrics add by) Anzu Record