Aje ft. Richie Ree Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2020
Lyrics
Aje ft. Richie Ree - Abdukiba
...
Niko radhi niuze kila kitu changu kwaajili yako
cause I fall in love, fall in love ayeeh
hisia zangu zimegonga kwako, nime fall in love
(fall in love yeeehhh)
sijui umeniwekea iridhi, mpaka naongea peke yangu
haziniishi zako feelings, zahirudia yeeeh
mwendo wako pole so faster ( iyeh)
huko nyuma umeacha desaster (iyeh)
n’takupiga timing n’kupate faster ( faster yeihh)
mwendo wako pole so faster ( iyeh)
huko nyuma umeacha desaster (iyeh)
n’takupiga timing n’kupate faster ( baby yeihh)
Aje ( aje anione) aje (aniliwaze) aje
aje aje aje ahhhhh aje (aje anione) aniliwaze
aje aje aje aje anione
wanasema hustler hachoki, nami nisha jicoke
kwa maneno matamu, eh na wala sitoziskia zao chuki sitojali umelala na nani ahhh uuhh
nitaziziba hadi zangu mboni, nisione wasichana
cause you are one in a million, million eehh
I don’t wanna feel lonely, karibu imaya
cause you are one in a million, million oh million
mwendo wako pole so faster ( iyeh)
huko nyuma umeacha desaster (iyeh)
n’takupiga timing n’kupate faster ( faster yeihh)
mwendo wako pole so faster ( iyeh)
huko nyuma umeacha desaster (iyeh)
nipige timing nimpate faster ( baby yeihh)
Aje ( aje anione) aje (aniliwaze) aje
aje aje aje ahhhhh aje (aje anione) aniliwaze
aje aje aje
aje anione anione ( iyeh)
aje anione anione ( iyeh)
aje anione anione (iyeh)
aahh ah aje anione anione (aje anione ah ah)
aje anione anione( aje anione aubembeleze huu mwili) aje anione ah ah
Aje ( aje anione) aje anione aje
aje aje aje ahhhhh aje (aje wooh)
aje yehhhe aje aje aje anione aje anione
Lyrics by Steven Godfrey