Mubashara Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2019
Lyrics
Mubashara - Abdukiba
...
ooh oohh
hisia kama mkuki zanichoma
ndio maana kila time nakuwaza wewe
kwa mahaba nayopata nahisi kwamba
mpaka homa sichoki kukesha nawe
love more love more
love more yeah
wapambe wanoangea usiku watalala
na wambie wenye wivu
maneno yasizidi mpaka
mmh
mapenzi mubashara
mapenzi mubashara
zidisha leo zaidi ya jana
(zidisha leo zaidi ya jana)
mmh
mapenzi mubashara
mapenzi mubashara
nikomeshe leo nisipate la kusema
(la kusema)
niroge kwa libwata mpaka nipagawe
ila tu nisiokote makopo
zidisha kipimo unachokiona wewe
kwako mi ni kama mtoto
mama toa jiko nje nipike
aah nikimaliza vyombo nioshe
tena songesha kichwa nywele nikusuke baby
tukimaliza twende bafu nikakwogeshe
mmh
mapenzi mubashara
mapenzi mubashara
zidisha leo zaidi ya jana
(zidisha leo zaidi ya jana)
mmh
mapenzi mubashara
mapenzi mubashara
nikomeshe leo nisipate la kusema
(la kusema)
aah nipate la kusema
ah baby
nah mapenzi mubashara