Uyo sio demu (feat. Neiba & Nay Wa Mitego) Lyrics
- Genre:Pop
- Year of Release:2020
Lyrics
Uyo sio demu (feat. Neiba & Nay Wa Mitego) - Abdukiba
...
kwanza ukimtazama haendani mambo niliyoyasikia, moja mzuri sana la pili yeye anavutia kiumbo yaani anavutia, kisuraa inshaallah Mola kamjalia, anamwendo wa kimiss me napenda anavyotembea aaah
hata kama wakimdiss mimi bado namfukuziaa aah
Daily kazi yenu nyinyi kumpakazia,
Daily sijui lini nyinyi mtampotezea x2
Kakudanganya wa Oysterbay wakati anakaa Manzese alafu wewe mwenyewe unafuraha aah
Usimwamini iii kumpa Moyo yeye usije kulia, usimuamini iii kumpa Moyo we utajaniambia x2
Yuko juu kwa njia za panya ni mengi aliyoyafanya aah wee angaliaa aah x2
yaani bingwa wa viduku kwenye vigodoro aiseee hana maana huyo demu x2
CHORUS
Huyoooo, Nasema huyo siyo demu
Huyooo, Nasema huyo siyo demu
Aaaaah mmmmh x4
I know siwezi laumu moyo kumpenda yule alisema mtoto mdogo na bado ye yupo shule, ( jamani me nampenda penda yeye, jamani me nataka taka yeye) x2
Ingawa walisema bingwa wa viduku na wengine wakanena bingwa wa vigodoro x2
Si lengo langu kukupiku no nasema ukweli huyu demu soo, ujipe moyo utakoshwa roho ila siyo demu wa kusizy nae mahome noo (Me nakupenda sana mchizi wangu ndo maana nakuambia usijeona hii dunia ni chungu moyoni utaumiaa aah) x2
CHORUS
Huyoooo, Nasema huyo siyo demu
Huyoooo, Nasema huyo siyo demu
Aaaaaaah x4
huyooo oh huyoo ooh
Huyo siyo demu, mimi mwenyewe namjua hajui kukataa wanasema kaumia hana mapenzi ya kweli anachojali ye shilingi kudadadeki mapenzi hayashauriki kama kweli we unampenda we mpende tu mara dufu ila huku kitaa wanamgonga hata kwa bukuu, huyo siyo demu ni demu wa kitaa huyo huyo siyo demu ni demu wa maselaaa
Aaaah, Nasema huyo siyo demu
Aaaah, Nasema huyo siyo demuuu
x4