![Uko Wapi](https://source.boomplaymusic.com/group2/M03/B6/71/rBEeNFw4n8iAP0rSAADMe95Tnx4623.jpg)
Uko Wapi Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2014
Lyrics
Uko Wapi - Elani
...
We uko wapi eeeh
Uuko wapi eeh
Wee uko wapi eeh
Nibembeleze kwani mie ndie wako
Wee uko wapi eeh
Uuko wapi eeh
Wee uko wapi eeh
Nichangamkie kwani mie ndie wako
Toka utotoni niliyakunywa naye maziwa ya nyayo tukicheza icho
Yeye Rabii kanibariki mimi
na nimekomaa, na ninanoti
Lakini malkia wangu
walinalofutia ajabu
nirudishie *2
nirudishie utanipa maisha yangu
Wee uko wapi eeh
Uuko wapi eeh
wee uko wapi eeh
nibembeleze kwani mie ndie wako
Wee uko wapi ehh
uuko wapi eeh
wee uko wapi eeh
nichangamkie kwani mie ndie wako
Nafanya mimi ninacho kipenda
mziki asali linaridhisha
lakini bado sijajitosheleza
natafuta sukari
nichanganye asali
asali sukari sukari asali
utamu nahisi ni we
wee pekee
Wee uko wapi eeh
uuko wapi eeh
wee uko wapi eeh
nibembeleze kwani mie ndie wako
wee uko wapi eeh
uuko wapi eeh
wee uko wapi eeh
nichangamkie kwani mie ndie wako
Wee oo oohh