![Peperuka](https://source.boomplaymusic.com/group2/M03/B6/71/rBEeNFw4n8iAP0rSAADMe95Tnx4623.jpg)
Peperuka Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2014
Lyrics
Peperuka - Elani
...
[...]
Nimeketi kwenye kona, muziki ndiyo soda,
Ya kiu cha moyo wangu
Kiangazi kimechoma, barafu sio dawa
Ya tiba ya moyo wangu
Picha zako zanituliza
Sauti yako nayo naisikia
Nataka mie ,nikupe maua
Niweze kupeperuka nifike kwa jua nipate kukuona
mama, papa
[...]
Nimeketi kwenye kona,
Moyoni sina supa, ya gari la moyo wangu
Ndugu zangu wanalia, kuomba tunaomba
Hizi enzi za machozi
Picha zako zanituliza
Sauti yako nayo naisikia,
Nataka mie ,nikupe maua
Niweze kupeperuka nifike kwa jua
Nipate kukuona
mama, papa
[...]
Nikupe maua niweze kupeperuka
Nifike kwa jua nipate kukuona
mama, mama
papa, papa
[...]