
Mahindi Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2014
Lyrics
Mahindi - Elani
...
(ooowh ooowh..mmmhh)
ni asante mama, kwa uji asubuhi
ii
nimewahi kuwahi eeh
na sasa niko fiti NAIROBI
maisha ya kulima sio rahisi
lakini
najua ni wengi wananingojea nifike na mahindiii
mahindiiii
wananchi wanataka kula ugali, nyumbani,
mahindiiii(*2)
raia wanatakaa unga ya ugali, nyumbani iii
anasema natumia jiko nyumbani
eeeh
eti kilo ya nyama yamgoja nyumbani na ugali
huku sisi tuko kazi
tukichelewa itakuwa tena kesi
Nairobi jueni tuko njiani twaja na..
mahindiii(*2)
wananchi wanataka kula ugali nyumbani
mahindiii mahindiii
raia wanataka unga ya ugali nyumbani iii
jogoo, hostess
sembee, pembe
(yote kazi ya mikono yetu)*2
jogoo, hostess
sembee, pembe
(zote kazi ya mikono yetu)*2
mahindi(*2)
wananchi wanataka kula ugali, nyumbani
mahindi(*2)
raia wanataka unga ya ugali, nyumbani
(nyumbani, nyumbani, ooh oooh, ooh ooh)