MauMaji ft. Msito, Nikki Mbishi & Tori Mugureness Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2023
Lyrics
Pambana kuwa huru kishujaa, nafsi yangu ina machungu/
Rest in peace Kimathi, Ronald Ngala, Harry Thuku/
Nafungua minyororo mlizo fungwa me ni sugu/
Babu una ogopa Mzungu, Me namwogopa Mungu/
Wana dai kutukalia, wana furahi tukiumia/
Wanadai kunitumia, nisha gundua nawakazia/
Naskuma mpaka ijipe, hii ni sauti mtaiskia
Damu ya Mau Mau, apa ni ushindi nime kujia/
No retreat no surrender, kaza kamba za boot/
Nime rudi kuwakomboa, ka Gorrilla ndani ya bush/
Sijai tambua ku teveva, ki soldier niko kwa booth/
Nazidi kuwapa teaching, ngoma safi na ni tru/
Unacho taka unaeza pata, uki hi tuma na uji push/
Tega kitendawili, mahali chini naona juu/
Chapa kazi kichizi, nime nawiri nika ku prove/
Daftari na kalamu, mashairi mta salute/
WARAKA wa mahujaji kwa mashahidi wa Yehova/
MauMau MajiMaji MAUMAJI maulaji kwa Muumbaji/
Hutoka kwa mhitaji anayeomba/
Anayesonga mtafutaji anaye nyonga, mvutaji anayehongwa asinijaji anayeponda/
itikadi baadae nongwa kizazi ataye pona ni nani/
Kinjekitile Ngwale Wa Ngalambe/
Nimesanuka leo sisemi maji wala bange/
Aluta Continua we utajuta ukin'tibua/
Haina Maseko wala Mputa King Kunta anan'tambua/
Eagerly wasomi wenu wanasaka Job/
Wakikosa wata-rob ka" ile Bank Job Italy/
Italian Job Dunia imevamiwa na Alien mob/
Imebaki war Rastafarian Bob/
Mazee wangu Inafaa kusukuma twende mbele/
Si uchawi ni kujituma usijefumwa kwenye ndele/
Know whatcha standing for, battles still plenty more/
Join the revolution this is MAUMAJI war/
Mugureness inadi area/
So listen to what I tell ya/
All I need is one mic ngutaririe maundu matokonii ni maingi na marikiru ndingihota
gutariria cararuku/
What we been through is beyond me for sure/
But none the less/
Is a blessing in disguise/
Like Gangstarr Guru, victory is ours/
Urathi wa mwene nyagah kuma kiambiriria/
To spread the love the joy the peace and cut the cord of pain and oppression/
Ta kimuri we're the light in the darkness/
Our essence is greatness/
In the end will be glorious/