Namjua ft. Madam Flora Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Namjua ft. Madam Flora - Christina Shusho
...
lyric sync by Phellow 254790511905
*****intro******
namjua aliyeniokoa
namjua ninayemwamini
namjua aliyeniita namjua namjua-eh
namjua aliyeniokoa (namjua)
namjua ninayemwamini (namjua)
namjua aliyeniita namjua namjua- ah
namjua aliyeniokoa (namjua)
namjua ninayemwamini (namjua)
namjua aliyeniita namjua namjua- ah
ukinichukulia poa (sawa)
nakuelewa maana hunijui (sio kesi)
ukifunguliwa macho (yeyeee utanijua)
alinijua kabla sijazaliwa
akaanzisha kazi ndani yangu
kamwe sitayumbishwa namjua-yeyeeyeeeee
namjua aliyeniokoa (namjua)
namjua ninayemwamini (namjua)
namjua aliyeniita namjua namjua- ah
namjua aliyeniokoa (namjua)
namjua ninayemwamini (namjua)
namjua aliyeniita namjua namjua- ah
*****instruments ******
siku mpya huanza saa sita(saa sita)
hata kama hujaona kitu kwangu
haina maana hakipo
'nachongoja ni kupambazuka (pambazuka aah)
dhana iliyoko ndani itaonekana yeyeyeyeeeeeeeeyee
namjua
namjua aliyeniokoa (namjua)
namjua ninayemwamini (namjua)
namjua aliyeniita namjua namjua- ah
namjua aliyeniokoa (namjua)
namjua ninayemwamini (namjua)
namjua aliyeniita namjua namjua- ah
namjua
namjua Mungu
namjua kwelikweli
namjua
eeehaa