Loading...

Download
  • Genre:Pop
  • Year of Release:2022

Lyrics

Naona Bado ft. Amileena - Sudi Boy

...

sudi eeh,eeh ,eeeeh Naona bora afadhali nioe mke basi muwe wawili, imepungua yangu Imani wananicheka ona majiranii, penzi nilokumwagia utamu wa ndoa unaniishia, wazazi wanaulizia mpaka lini watasubiria, eeeh,nayaheshimu yako maamuzi mara mbili fikiria, ujana moshi hauna ujuuzi sote njia tunapitia, nayaheshishimu yako maamuzi oooh, ujana moshi hauna ujuuzi mke wangu weeh, chorus naona Bado naona Bado,hujaridhia kuishi na mimi, naona Bado naona Bado ndo maana hutaki kuzaa na mimi, naona Bado naona Bado , hujaridhia kuishi na mimi, naona Bado naona Bado ndo maana hutaki kuzaa na Mimi, ayaya,ayayayaaa,ayaaya ayaaayaaa,unaogovya hadharani na matisho za mke wa pili, hajawambia na majonzi kwa kujua tena hauniaminii, naomba uwe na subira sio ati sitaki kukuzaliaa, wakati wetu hujafika tuwe na sisi familiaa, nayaheshimu yangu maamuzi naomba mpenzi we subiria, hili jambo zito la uzazi Bado mi nalifikiria , heshimu yangu maamuzi ooooh, hili jambo si la ujuuzi bado mi nalifikiria, Naona Bado naona Bado muda hujafika wa kuzaa na wewe, naona Bado naona Bado subiri kidogo bwana wee, naona Bado naona Bado muda hujafika wa kuzaa na wewe, naona Bado naona Bado subiri kidogo bwana wee. ayaa yayaa ayeyaa,ayaaaa yee yee eeiih, Nimejaribu kukwambia japo tuzae hata mtoto mmoja, Majibu nimesubiria sikuelewi day unasema ngoja, unaogopa kupoteza ujana (noo) unataka tuishi kama jana ( noo) mmh ety Bado mapema(yee) kifungu gani Cha ndoa kimesema? ee, nayaheshimu yangu maamuzi naomba mpenzi we subiria, hili jambo zito la uzazi Bado mi nalifikiria nayaheshimu yako maamuzi oooh, ujana moshi hauna ujuuzi mke wangu weeh, Naona Bado naona Bado hujaridhia kuishi na mimi, naona Bado naona Bado ndo maana hutaki kuzaa na Mimi, naomba Bado naomba Bado muda hujafika wa kuzaa na wewe, naomba Bado naomba Bado,subiri kidogo bwana wee, sudi wee wacha mabaraa,muda wetu hujafikaaa, (instrumental music)

Similar Songs

Listen to Sudi Boy Naona Bado ft. Amileena MP3 song. Naona Bado ft. Amileena song from album Naona Bado is released in 2022. The duration of song is 00:04:06. The song is sung by Sudi Boy.

Related Tags: Naona Bado ft. Amileena, Naona Bado ft. Amileena song, Naona Bado ft. Amileena MP3 song, Naona Bado ft. Amileena MP3, download Naona Bado ft. Amileena song, Naona Bado ft. Amileena song, Naona Bado Naona Bado ft. Amileena song, Naona Bado ft. Amileena song by Sudi Boy, Naona Bado ft. Amileena song download, download Naona Bado ft. Amileena MP3 song

Comments (4)

0/500

    New Comments4

    Ikamais KE

    huu wimbo una mafunzo kwa maisha yangu san...be blessed sanà Sudi bwoy popote ulipo u gat my love bro.

    140609098

    ❣❣

    libanevans

    I love this

    Daisykip

    the best

    +

        -   or   -

        -   or   -

        NG +234
            -You can log in via below methods-
            Reset password via e-mail
            -or-
            Reset password via e-mail
            Feedback on resetting password
            * It may take a longer time

            Please Select A Playlist

            Add New Playlist

            Share on

            Embed: Love & Light EP

            Custom Size :

            • Default
            • Desktop(300*600)
            • Mobile(300*250)

            Type :

            • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
            Get Boomplay Premium
            for
            Payment Method
            Pay With
              Review and pay
              Order Date
              Payment Method
              Due Today
              Flutterwave
                Subscription Successful

                Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

                Now you have access to all the features of Boomplay App.
                Payment Failed

                Please check your balance and then try again.

                You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
                Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
                Payment Processing...
                10 s

                Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

                Payment Processing
                Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
                About Order Status