![Roho](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/03/17/c326498bc923406c880118296fba52ae.jpg)
Roho Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2021
Lyrics
Roho - Christina Shusho
...
Ee roho kaa ndani yangu nikiwa nawe niko salama,ee roho kaa ndani pamoja nawe nitashinda.
Ee roho kaa ndani yangu nikiwa nawe niko salama, ee roho kaa ndani pamoja nawe nitashinda.
Ee roho kaa ndani yangu nikiwa nawe niko salama, ee roho kaa ndani pamoja nawe nitashinda.
Ee roho kaa ndani yangu nikiwa nawe niko salama,ee roho kaa ndani pamoja nawe nina nguvu.
Ee roho kaa ndani yangu nikiwa nawe niko salama, ee roho kaa ndani pamoja nawe nina nguvu.
Ee roho kaa ndani yangu nikiwa nawe niko salama, ee roho kaa ndani pamoja nawe nina nguvu.
(Nina nguvu,nina nguvu,nina nguvu ee, nina nguvu,eee, pamoja nawe nina nguvu)
(Niko salama,niko salama,niko salama ee,niko salama, niko salama, niko salama pamoja nawe niko salama)
(Nitashinda, nitashinda,nitashinda wee, nitashinda, nitashinda, nitashinda pamoja nawe nitashinda)
Kama ardhi isiyo na maji inapasuka ndivyo roho nakuitaji fanya makao kwangu.
Moyo wangu wakutamani nafsi yangu yaona kiu,ee roho kaa ndani yangu bila wewe siko salama.
Ee roho kaa ndani yangu nikiwa nawe niko salama, ee roho kaa ndani pamoja nawe nitashinda.
Ee roho kaa ndani yangu nikiwa nawe niko salama, ee roho kaa ndani pamoja nawe nitashinda.
Ee roho kaa ndani yangu nikiwa nawe niko salama, ee roho kaa ndani pamoja nawe nina nguvu.
Ee roho kaa ndani yangu nikiwa nawe niko salama, ee roho kaa ndani pamoja nawe nina nguvu.
(Nina nguvu,nina nguvu,nina nguvu eee,nina nguvu,nina nguvu,eee, pamoja nawe nina nguvu)
(Niko salama, niko salama, niko salama ee, niko salama,niko salama,niko salama pamoja nawe niko salama)
(Nitshindaa,nitashinda, nitashinda wee, nitashinda,nitashindaa ,nitashinda pamoja nawe nitashinda.)