Nisamehe ft. Seif Shabani, Motaki Flavor & Nasra Aimo Lyrics
- Genre:Acoustic
- Year of Release:2022
Lyrics
Woouoh eeiyeh ehee
Najua umechukia sana
Ni haki yako kuchukia
Najuta kwa ya niliyotenda kwako
Sijui ni nini kiliniponza
Simu zangu nikipiga
Hutaki kuzipokea
Natambua kama nimekosa
Binadamu pia ninakosea
Rudisha moyo wako nyuma
Kumbuka wapi tuliko toka
Starehe za dunia mama
Zako zilinipotosha
Nili date na dada yako
Rafiki zako eeh
Nikavunja heshima yako
Bila kujali we
Napiga magoti mbele
Yako ya nyuma yaishe
Nili date na dada yako
Rafiki zako eeh
Nikavunja heshima yako
Bila kujali we
Napiga magoti mbele
Yako ya nyuma yaishe
Nisamehe
Nisamehe pasi na ya kinyongo
Nisamehe
Nisamehe pasi na ya masharti
Nisamehe yeiyeh
Nisamehe pasi na ya vikwazo oh
Japo uliniumiza sana
Sina mfano wa kutoa
Mapenzi bure uligawa
Nikakosa wako wa ndoa
Imani yangu ilinitoka
Nikajua ndo basi tena
Kufanya kosa sio kosa
Kurudia kosa ndio makosa
Kufanya kosa lile lile
Ndio kosaa
Nisamehe eeh
Nisamehe pasi na ya kinyongo
Nisamehe yeyeh
Nisamehe pasi na ya masharti
Nisamehe yeiyeh
Nisamehe pasi na ya vikwazo oh
Kwisha kusema wangu lazizi
Mama
Yeiyeh yeyeyeh
Mama
Yeiyeh yeyeyeh