![Tanzanian Lady ft. Seif Shabani](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/06/15/5e78b4afc7534589a946e304bd7fb82c_464_464.jpg)
Tanzanian Lady ft. Seif Shabani Lyrics
- Genre:Acoustic
- Year of Release:2022
Lyrics
Ouooh yeyeh Tanzanian Lady
Oyeyeyeeh oh yeyeh
Nilikuona siku ya Ijumaa
Ukitembea pale mtaani kwetu
Ulikuwa umevaa gauni jekundu
Ooh ulipendeza sana
Nilikupungia mkono wa salamu
Nawe ukanirushia mabusu
Je umwana mitindo city center
Huku kwetu unatafuta nini
Mpenzi nipe namba zako
Instagram hata facebook
Uniambie tutakutana lini
Uniambie tutaonana wapi
Uniahidi utalikumbuka jina Langu
Uniahidi utaikumbuka sura Yangu Yengo
Tanzanian lady Tanzanian lady
Tanzanian lady
Tanzanian lady Tanzanian lady
Tanzanian lady
Hata kama unatokea Kigoma Dada
Mimi sina shaka na wewe
Hata uwe unatokea Mbeya aah
Mimi sina shaka na wewe
Na Morogoro oooh
Mimi sina shaka na wewe
Hata ukiwa wewe ni Msukumaa
Mimi sina shaka na wewe
Hata utoke Unguja na Pemba Dada
Mimi sina shaka na wewe
Hata kama wewe ni Msukumaa
Mimi sina shaka na wewe
Katavi Tabora eeeh
Mimi sina shaka na wewe
Uniambie tutaonana wapi
Uniambie tutakutana lini
Uniahidi utalikumbuka jina Langu
Uniahidi utaikumbuka sura Yangu Yengo
Tanzanian lady Tanzanian lady
Tanzanian lady
Tanzanian lady Tanzanian lady
Tanzanian lady