Mbeya Lyrics
- Genre:Pop
- Year of Release:2024
Lyrics
Mbeya oh Mbeya Mbeya
Mbeya Mbeya Mbeya Mbeya
Nataka kwenda Mbeya mbeya
Nikasalimie ndugu na marafiki
Nitawasalimia mugonile mugonile
Kyala abatulile ndaga mulobwike
Bajuba na ba tata mwesa oh
Nataka kwenda Mbeya
Nikawaone wenzangu eh ambao
Niliokuwa nao wakati wa
Ujana wangu
Nitatembelea na wilaya zote
Rungwe Kyela na Busokelo
Oh Mbeya Mbarali hata
Chunya mh
Nitaenda Kaporogwe waterfalls
Nitavuka daraja la Mungu
Ambalo huwa nalisikia tu
Nitaenda kupunga upepo eh
Kule Matema beach oh yeah
Matema pwani ya Mbeya
Katika ziwa Nyasa eh
Mbeya oh Mbeya Mbeya
Mbeya oh Mbeya Mbeya
Mbeya oh Mbeya Mbeya
Mbeya oh Mbeya Mbeya Mbeya
Siku ya kurudi kwangu natamani
Nibebege kila kitu
Bei zake ziko poa
Sio za kuvunja benki
Ndizi Maparachichi viazi hata
Majani ya chai toka kiwandani
Oh oh
Mbeya oh Mbeya oh
Iko siku iko siku na wala haiko
Mbali mnitegemee ndugu
Zangu na marafiki zangu eh
Mbeya oh Mbeya Mbeya
Mbeya oh Mbeya Mbeya Mbeya Mbeya
Mbeya oh Mbeya Mbeya
Mbeya oh
Nitatembelea wilaya zote
Rungwe Kyela na Busokelo
Mbeya Mbarali hata Chunya
Nitaenda Kaporogwe waterfalls
Nitavuka daraja la Mungu
Huwa nalisikia tu oh
Nitaenda kupunga upepo eh
Kule Matema beach oh yeah
Matema ah pwani ya Mbeya
Katika ziwa Nyasa
Ah ah azah ah ahoh
Mbeya oh Mbeya Mbeya
Mbeya oh Mbeya Mbeya Mbeya Mbeya
Mbeya oh Mbeya Mbeya
Mbeya oh Mbeya Mbeya
Mbeya Mbeya Mbeya