Mpanda Ngazi ft. Seif Shabani Lyrics
- Genre:Acoustic
- Year of Release:2022
Lyrics
Ahsante studio made it auuh
Ana gari la kifalme
Ana nyumba ya kisasa
Anavuta cigar zinazotoka Cuba
Mlo bila ya caviar
Kwake haujakamilika
Tulio hustle naye
Eti hatukumbuki aah
Kiswahili amesahau aah
Hachezei tena kete
Sasa yuko na magongo aah
Mpanda ngazi hushuka
Sisi tunamgoja
Mpanda ngazi hushuka
Sisi tunamgoja
Usitukane wakunga
Uzazi ungalipo
Mpanda ngazi hushuka
Sisi tunamgoja
Mpanda ngazi hushuka
Sisi tunamgoja
Usiponyea kambi
Utapokelewa tena
Mpanda ngazi hushuka
Sisi tunamgoja
Mpanda ngazi hushuka
Sisi tunamgoja
Aiyayayah ah ah
Aiwowowh wah
Cheza cheza oh
Wana wanahasira naye
Mapovu yanawatoka
Hawataki chochote toka oh
Wamempa majina mengi
Mojawapo ni Limbukeni
Hawamwonei wivu wala kumtakia mabaya
Lakini kupanda na kushuka
Ndio hali ya dunia ooh
Mpanda ngazi hushuka
Sisi tunamgoja
Mpanda ngazi hushuka
Sisi tunamgoja
Usitukane wakunga
Uzazi ungalipo
Mpanda ngazi hushuka
Sisi tunamgoja
Mpanda ngazi hushuka
Sisi tunamgoja
Usiponyea kambi
Utapokelewa tena
Tulimwona akipanda akipanda Zake juu
Tunamwona akishuka akishuka
Zake chini
Huyoo huyoo anapanda zake juu
Huyoo huyoo anashuka
Zake chini
Huyoo huyoo anapanda zake juu
Huyoo huyoo anashuka
Zake chini
Ayeyeyeh waah
Awowowoh wah
Cheza cheza oh
Cheza cheza ooh
Aiyayayah ah ah
Aiwowowh wah
Cheza cheza oh