Learn Kiswahili Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2025
Lyrics
Welcome to Tanzania
Karibu Tanzania
Chanzo cha lugha ya Kiswahili
The origin of Kiswahili language
Let's learn the names of the week
Tujifunze majina ya siku za wiki
Let's learn the days of the week
Of the week Of the week
Hizi ndizo siku za wiki
These are the days of the week
Monday is Jumatatu
Tuesday is Juma nne
Wednesday is Jumatano
Thursday is Al-hamisi
Friday is Ijumaa
Saturday is Jumamosi
Let's go out in the evening
And enjoy ourselves
Hebu tutoke tukajiburudishe
Sunday is Jumapili
Day of prayers and rest
Ni siku ya kusali na kupumzika
Those are the days of the week
On which you work so Hard
Hizo Ndizo siku za wiki ambazo
Unafanya kazi kwa bidii sana
Those are the days of the week
On which you work so Hard
Let's mention the days again
Hebu tuzitaje siku Tena
And see if we remember them
Tuone kama tutazikumbuka
Monday Tuesday Wednesday
Thursday Friday Saturday
Sunday
In Kiswahili
Juma tatu Juma nne
Juma tano Al hamisi
Ijumaa Juma mosi Juma pili
Hongera sana congratulations
Watu millioni Mia mbili duniani
Wana ongea Kiswahili
Two hundred million people
Speak Kiswahili worldwide
Kiswahili is among the ten most Spoken languages in the world
Now you know all the days
Of the week in Kiswahili
Congratulations
Sasa unazijua siku
Za wiki kwa Kiswahili
Hongera hongera
Hongera sana
Karibu Tanzania
Chanzo cha lugha ya
Kiswahili duniani
A. M. F. P.
Studios
Temeke