Loading...

Download
  • Genre:Acoustic
  • Year of Release:2023

Lyrics

Nimepata kupenda lakini

Sio kama sasa

Nimepata kupenda lakini

Sio kama sasa

Nikimuona moyo unakwenda

Puh puh

Nikimuona moyo unakwenda

Puh puh puh puh

Ni kweli wanaposema

Mapenzi ni kama kikohozi

Kama wewe ni jasiri

Jaribu kuyazuia

Ukimuona moyo utadunda

Puh puh

Ukimuona moyo utadunda

Puh puh puh puh

Achana na wanaosema

Umempendea nini

Wanasema ni mnene

Kwako amenawiri

Wengine husema mwembamba

Kwako yuko kama model

Ukimuona moyo unadunda

Puh puh

Ukimuona moyo unadunda

Puh puh puh puh


Nampenda nampenda

Nampenda sana

Nampenda nampenda

Nampenda sana

Nikimuona moyo unadunda

Puh puh

Nikimuona moyo unadunda

Puh puh puh puh

Nampenda nampenda

Nampenda sana

Nampenda nampenda

Nampenda sana


Sifa zake ziko tele

Jamani amejaliwa

Umbo lake kama nane

Macho yake kama golori

Sauti yake kama ya kinanda

Inaniliwaza mwenzenu

Nikimuona moyo unadunda

Puh puh

Nikimuona moyo unadunda

Puh puh puh puh

Leo ni leo asemaye

Kesho anadanganya

Nikikutana naye leo

Naufungua moyo wangu

Hata kama moyo unadunda

Puh puh

Hata kama moyo unadunda

Puh puh puh puh

Subira yavuta kheri

Wahenga waliyasema

Na mbio za sakafuni

Huishia ukingoni

Nimesubiri vya kutosha

Sasa ninajitosa

Hata kama moyo unanienda

Puh puh

Hata kama moyo unanienda

Puh puh puh puh


Nampenda nampenda

Nampenda sana

Nampenda nampenda

Nampenda sana

Nikimuona moyo unadunda

Puh puh

Nikimuona moyo unadunda

Puh puh puh puh


Nampenda nampenda

Nampenda sana

Nampenda nampenda

Nampenda sana

Nikimuona moyo unadunda

Puh puh

Nikimuona moyo unadunda

Puh puh puh puh

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234
          -You can log in via below methods-
          Reset password via e-mail
          -or-
          Reset password via e-mail
          Feedback on resetting password
          * It may take a longer time

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status