Tupendane Lyrics
- Genre:Acoustic
- Year of Release:2022
Lyrics
Yeeyeyeh yeyeyeh yeyeh
Mmmmh mmmh mmh
Mmmmh mmmmh mmh
Mpenzi wangu leo nikuambie
Nafurahi kuwa na wewe
Sijapata kuona mmmh
Umenifanya niwe mtu
Tena tena niwe wa maana
Najisikia vyema mmmh
Mmh najisikia kama mtu tena
Mpenzi usije ukaniacha oh
Nisemapo nakupenda sio uongo
Mbingu na nchi vyote vyanishuhudia
Unipende nami nikupende milele Ooh
Katika raha na karaha zote
Mimi nawe mimi nawe
Tupendane
mimi nawe mimi
Nawe siku zote
Mimi nawe mimi nawe
Tupendane
Mimi nawe mimi
Nawe siku zote
Usiniache usiniache
Hata sekunde Moja
Usiniache usiniache
Hata siku moja
Usiniache usiniache
Hata kwa wiki moja
Usiniache usiniache
Hata kwa mwezi mmoja
Mapenzi ni sabuni ya roho
Mapenzi tena huua
Mimi nawe mimi nawe tupendane
Mimi nawe mimi Nawe siku zote
Mimi nawe mimi nawe Tupendane
Mimi nawe mimi Nawe siku zote eeh
Nitakupa mapenzi yangu
Kwa Maneno na vitendo yoooh
Nitakufungulia mlango wa gari Yooh
Sitakimbilia mbele usukani mmh
Nitapika chakula siku zingine oh
Na kuwaogesha watoto oooh
Nitakupitia kazini kwako ooh ili
Turudi wote nyumbani iiih
Nakupenda nakupenda oooh
Nisemapo nakupenda sio uongo
Mbingu na nchi vyote vyanishuhudia
Unipende nami nikupende milele Ooh
Katika raha na karaha zote
Mimi nawe mimi nawe tupendane
Mimi nawe mimi Nawe siku zote
Mimi nawe mimi nawe tupendane
Mimi nawe mimi Nawe siku zotee
Usiniache usiniache
Hata Sekunde moja
Usiniache usiniache
Hata kwa siku moja
Usiniache usiniache
Hata kwa Wiki moja
Usiniache usiniache
Hata kwa kwa mwezi mmoja
Mapenzi ni sabuni ya roho
Mapenzi pia huua
Mimi nawe mimi nawe tupendane
Mimi nawe mimi Nawe
Siku zote eeh
Aiyo oooh aiyo yoyoyoh
Cheza cheza cheza hei boboboh
Hei bobobo
Aiyo oooh aiyo yoyoyoh
Cheza cheza cheza
Hebobo hebo boboh
Aiyo ooh ooh
Aiyoyoyoh