![Unanichombeza ft. Young Lunya](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/05/17/8d8f2bd2604d4da98cca4df24ab6d5f6_464_464.jpg)
Unanichombeza ft. Young Lunya Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Intro..
mmh ooah mmh ooah
Verse 1
Najifili good simchezo umenikili me nayako michezo,
Baby hello twende slow slow,
We na mimi daima si mwisho kesho,
Sema nono kemea pepo, wakija na vishawishi mambwa koko,
Naskia raha raha kuwa nawe baby,
We wangu wa ndoto wengine michosho kwako sinaga mapepe,
Naskia raha raha ooh raha baby, we wangu wa ndoto wengine michosho staki mbali uende,
Rote rote asnasiko haste haste,
Kote kote mimi nipo mpaka nizikwe nawe my love,
Chorus
Unanichombeza moyoni umetosheleza mmh,
Nitakudekeza siwezi kabisa kukupoteza *2
My love oohh my love my love,
My love ooh my love my love.
Verse 2
Yani shingoni umenikaa apa,
Sifurukuti umenikamata,
Sina mbawa ila naona kama napaa,
Umebarikiwa mwendo na bambataa,
Hata kukupata naona ni zari, mana hata hiyo siku ya ndoa naona ni mbali,
Kwenye swala zima ya usafi nimekukubali, yani yananukia makwapa mbaka majawali,
Hii safari tutafika tu mdogo mdogo,
Napenda utamu nionjeshe kidogo,
Pika kisamvu nakuja home na muhogo,
Wanangoja tuachane ili waongee hawana dogo,
Wazi ninakuzimia na unajua,
Ukiwa mbali sichepeki hua najichua,
kwenye show kama kawa nakisanua,
Ukizifikicha me nikifika nazikamua mua mua,
Chorus
Unanichombeza moyoni umetosheleza,
Nitakudekeza siwezi kabisa kukupoteza,
Unanichombeza moyoni umetosheleza,
nitakudekeza siwezi kabisa kukupoteza,
My love my love my love
My love my love my love.