Sarafina Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2017
Lyrics
Uuuhhh Uuuuhhh Ah eehhh
Uuuhhh aah aaaaaahhhh
Mmmmmh
Aah aaaaaahhhh
Mmmmh
Ulipaswa uwe mvumilivuuu
Ungesubiriaaa
Uhakiki ndo utoe majibuu
Kama nimekosea aah
Najua wivu ni ugonjwa
Ambao wengi tunaugua
Unanihukumu sina kosaa
Mbona kipenzi unanionea
Heeeh
Misemo ya wahenga
Baby umepuuzia
Uuuhh
Maneno yanajenga
Menginee yanabomoa
Na kibanda tushajenga
Badoo kuhamiaa
Usigeuke samaki
Ndoano Zikakuopoa
Sarafina
Sarafina
Sarafina
(Kipenzi)
Sarafina
Sarafina
Sarafina
(My baby)
Sarafina
Sarafina
Sarafina
(Mpenzi)
Sarafina
Sarafina
Sarafina
Hakuna apendae mua kula kwenye fundo ama tindini
Hata kama nikukosa usikurupuke niulize mimi
Hakuna apendae mua kula kwenye fundo ama tindini
Hata kama nikukosa Usikurupuke
Niulize mimi tujenge amani
Mmmh eeeeh
Niulize mimi tujenge amani
Niulize mimi tujenge amani
Tabia fulani za fuku fuku kwepana nazo mama mapenzi
Yasikatike yakawa luku yakisha ndani oh na kinyonga
Mtaratibu kwenye amani ila kwenye vita nakimbia kipimo
Cha majaribu hadi shetani
Usiruhusu akaingia kinyonga mtaratibu kwenye amani
Kwenye vita nakimbia kipimo cha majaribu hadi shetani
Usirihusu akaingia
Maneno ya kuambiwa usiyajaji fasta fasta mami macho
Funika pazia masikioni weka pamba darling
Maneno ya kuambiwa usiyajaji fasta fasta mami macho
Funika pazia masikioni weka pamba darling
Sarafina
Sarafina
Sarafina
(Kipenzi)
Sarafina
Sarafina
Sarafina
(My baby)
Sarafina
Sarafina
Sarafina
(Mpenzi)
Sarafina
Sarafina
Sarafina
Hakuna apendae mua kula kwenyefundo ama tindini
Hata kama nikukosa usikurupuke niulize mimi
Hakuna apendae mua kula kwenye fundo ama tindini
Hata kama nikukosa usikurupuke niulize mimi tujenge amani
Mmmh eeeeh
Niulize mimi tujenge amani
Niulize mimi tujenge amani