In Love Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2021
Lyrics
In Love - Beka Flavour
...
In love, in love
(With another)
In love, in love
(T-Touch)
In love, in love
(Mafya)
Mmh najinenepea sasa kibonge
Raha unazonipa kwanini nikonde
Walahi acha waone donge
Tunavyopendana hatuna mawenge
Penzi unalonipa la Kisultan
Kuna muda nahisi niko peponi
Eeh kumbe niko duniani
Wanipa raha zinazozidi kifani
Nakupandisha dau kuanzia leo
Huba unalonipa kama la kwenye video
Bonge la toto sio kimeo
Ukiniita naitika jana na leo my love
Hatufanani kama fungu ya nyanya
Mimi na baby wangu tunapendana
Real love hatuna mambo ya dramna
Hadi tunaanza fanana
In love, in love, in love tumezama kabisa
In love, in love, tumezama kabisa
In love, in love, tumezama kabisa
In love, in love, tumezama kabisa
In love, in love, in love, in love
I love you baby, you drive me crazy
Give it to me, give it to me anything I'm ready
Sounds amazing you have my baby
Look at me, I look at you
See how we matches
Kweli umenibamba moja yako namba
You gonna kill me slowly
Sina haja ya kudanga, mapenzi ya kitanga
Unanipa naenjoy
Nakupandisha dau kuanzia leo
Huba unalonipa kama la kwenye video
Bonge la toto sio kimeo
Ukiniita naitika jana na leo my love
Hatufanani kama fungu ya nyanya
Mimi na baby wangu tunapendana
Real love hatuna mambo ya drama
Hadi tunaanza fanana
In love, in love, in love tumezama kabisa
In love, in love, tumezama kabisa
In love, in love, tumezama kabisa
In love, in love, tumezama kabisa
In love, in love
In love, in love
In love, (tumezama kabisa) in love
In love, (tumezama kabisa) in love
Tumezama kabisa
Tumezama kabisa
Tumezama kabisa
Tumezama kabisa
Tumezama kabisa
Tumezama kabisa
(Take five now)
Added by Fidelisbzm01