Poa Poa Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2020
Lyrics
Poa Poa - Beka Flavour
...
Uhhm uhmm mafya eeeh kunamengi tumepanga kipindi niko na yeye,nayeyee
ilaakaja akayapanguwa akayavuruga yalee,
yeyeee kusemeza ukweli nimepata pigo moyo imetoboka inauma figo kichwa changu mwenyewe naona mzigo uwoohh..vipi nikwepe
hazabu nisikonde ili nisipate tabu mimnyonge maana mawazo Msura nijinyonge ila nononoo
imani inakataa,siwezi kuimba tarabu nimponde ikaja kuwa sababu watu waongeye vinyago kama mpingo wajinyonge ila nononoo
moyo unakataa,me nachukuliya tu POA
POA siwezi weka kwenye moyo POA POA mbona kawaidaah nitafanya nini kibogoyo POA POA x2
minachukuliya tu POA POA siwezi weka kwenye
moyo POA POA mbona kawaidaaah eeh nitafanya nini kibogoyo miye .
Kama kupenda nilimpenda sikuchunguza kasoro zakwangu ndogondogo zimemshinda
akachanganya kongoro limevuja mpaka chasiamini ameniacha doro eti mzowa matakataka namimi atuna kasoro !!
Kwagiza totoro kaniacha kwachochoro
nacheza ndombolo mwenyewe bila soro hakuwazagaga kama kuna tomorrow uhmm
uhmmm..vipi nikwepe hazabu nisikonde ilinisipate tabu mimnyonge mahana mawazo
msura nijinyonge ila nononoo imani inakataa siwezi kuimba tarabu nimponde ikaja kuwasababu watu waongeye vinyago kama mpingo nawachongeye ila nononoo moyo unakataa minachukuliya tu POA POA siwezi
weka kwenye moyo POA POA/siwezi wekakwenyemoyo iyee !!
Mbona kawaidaaah POA POA/kawaida sana
tufanye mini kibogoyo POA POA/nasi wakwanza mimi yaaah ×2.
Minachukuliya tu POA POA siwezi weka kwenye moyo/ siwezi weka kwenye moyo mama yoo.mbona kawaidaaah eeeh /yeyeyeeh
nitafanya nini kibogoyo inauma sinalakufanya
mama woo mama woo mama wooo inaniuma
sinalakufanya dada woo dada woo hedadawoo
itabidi nizoweye eeh
POA POA POA POA POA POA POA