Napepewa Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Intro
Wuwuwu wu wu wuh wuwu wu wu wuuh eeh,
Verse1
Nimedata na swaga zako nimezilai zilai,
Siwezi mapenzi yako kuyakinai kinai
Kukuacha sifikili baby hayo ni makosa yajinai,
Uongeza mbwembwe nipate wenge mmh ikibidi nizilai,
Danadana nooo kwa wangu mamito,
Siwezi kufanya maovu maovu mmh,
Kwengine nishasema no me chupa we kifuniko
Na matatizo tuyasovu yasovu,
Ana ana doo dolemi faso lati doo,
Nakupenda nimekuchagua moyoni uko peke yako,
Ana ana do dolemi faso lati doo,
Nakupenda nimekuchagua moyon uko peke yako baby.
Chorus
Napepewa uo uo
Napepewa eeh eeyeeh eeyeeh ,
Napepewa kwa penzi lake mwenzenu kwa kweli najivunia,
Napepewa mmh uo uo
Napepewa eeh eeyee eeyeh
Napepewa ananifanya maisha naona nimepatia.
Verse 2
Penzi lake me najivunia siwezi kugongewa gongewa,
Masnichi wote nawajua dm wakinyapia nyapia,
Wanakesha wakijisumbua hawawezi kuambua ambua,
Yani hasi kuja kua chanya atarudi majuto na jengua,
We ushanipiga kitanzi na lako penzi sasa wapi niende,
Kukuacha me siwezi kindezi ndezi bora wanione bwege,
Kwangu we kama mwokozi unanienzi nimesahau yote,
Nakupenda kinyamwezi mpaka ma x kule waona donge,
Ana ana do dolemi faso lati do nakupenda nimekuchagua moyoni uko peke yako,
Ana ana do dolemi faso lati doo
Nakupenda nimekuchagua moyoni uko peke yako baby.
Chorus
Napepewa uo uo
Napepewa eeh eeyeeh eeyeh
Napepewa kwa penzi lake mwenzenu kwa kweli najivunia,
Napepewa mmh uo
Napepewa eeyeh eeyeh
Napepewa ananifanya maisha naona nimepatia *2