![Sikinai](https://source.boomplaymusic.com/group1/M00/63/A8/rBEeMVpHTVKAfLrVAAC-RGwfTKA282.jpg)
Sikinai Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2017
Lyrics
Sikinai - Beka Flavour
...
kama kinda la ndege nimetuliza kwenye kiota changu tena sinamawenge nipe ubawa wako ndo shuka yangu kama pombe mwenzako umenilewesha sembe si dengu tena bonge la boya me kwako Nimefika makoko matanduu
sinaaa mapembe ya mbuzi macho mbelee nyumaa ninaa tulivu ya kondoo mwendo na inamaa eee sina tamaaa za jogooo kutoka kila tembe niwe nae wivu ni donda la roho shda gan ukonde kisa mee
chorus::
nyama ya kangaroo ukinipa nalaa sikinai kushba Sawaa nn ooooh samaki ngalaaawaaa nikajichoma mwiba na .x2
wakikutia DOA ntakupa jiki mamiii bado nipo naweeeee Mamy hatufananii.x2 hayaaaaa hayaaaaaaa
eeeeee eeeeeh
Kwanzaa unanipet petiii kwa mapenzi ya tangaaaa AAA eeeeee kwenye bed cchoki unavonikandaaa we ndo tangaaa na mm mlingotii jifunge na kangaa aaaaaah eeeeeeh nisitue kijotiii ucje leta jangaaaa aaaaaah eeeeeeh naona barid ooooh yanisakamaa we ndo koti kotiii kwenye yetu ligii oooh tukikutana unanikoch kochiiii mamy Mamy ooooh unanikosha mwenziooo kwenye luv unaongeza malavuuu unajifanya na data mwenzioooo Mamy Mamy oooh unankosha mwenzio ukishika ndevu ukitomasa mbavu Unafanya na Cheka mwenzioo
nyama ya kangaroo ukinipa nalaaa sikinai kushba sawaaaaaa Sawa nn ooh samaki ngalawaaa nikajichoma mwiba na kangaroooo ukinipa nalaaa Sawa nn ooh samaaki ngalawaaaa nikajichoma mwiba Maaa
wakikutia DOA nitakua jiki mama hayaaa hayaaaaaa bado nipo naweee hadhira tufananiii Haya hayaaaaaaa wakikutia DOA ntakupa jiki mamiii hadhraa tufananiii
weekend twende wapi chagua Nakupa nafasii gari au tupande farasii cheers tugonge glass .x2