Kibenten Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2018
Lyrics
Kibenteni - Beka Flavour
...
Mafia, kibenteni (maxmizo) kibenteni utafute wewe nitakula nini.
maumivu nayajua, nilishang'atwa nyoka fawe
nikiona Jani naugua, nahisi yatajirudia yale.
Sina koti kwenye fua, ikinyesha wacha tu ni lowe.
Nahisi utakuja kunisumbua cozy mimi sifanani nawewe.
kuuziwa mapenzi sitaki, wacha tu nitafute mwenyewe.
nikipata nikikosa sawa, sitaki mi kulelewa nawe
Umenipita vitu vingi sana, Hata huoni sifanani nawe.
niliyenaye ataumia sana, Kama maliza kukula mweyewe
una (?)
unaniwinda kila jasho kila kona, ni vizawadi zawadi kwangu havina maana,
oh oh oh
una(?)
unaniwinda kila jasho kila kona, vizawadi zawadi kwangu havina maana,
oh oh oh
kibenteni sijazoea kufungiwa ndani,
utafute wewe Nije kula mimi
kibenteni sijazoea kufungiwa ndani,
kibenteni ninunuliwe Mpaka nguo ya ndani,
kuna maradhi ya ajabu ya tamaa, ja ukiendekeza,
ni msaliti mpezi ninaye mpenda, Kiza Kama ya fedha
ni uzie dhamani mama, alinidokeza
ya dara ndizi mbaya nikilikanyaga naweza nikateleza.
chunga wasiwasi ndo pili, mabaya yanipitie mbali
najua kuna gesti na jeraha, yasije nitokea puani
malipo kutafuna pilipili, itakuwasha kinywani
nakinga upepo ukibadali, sitaki kuishi gizani.
una (?)
unaniwinda kila jasho kila kona, ni vizawadi zawadi kwangu havina maana,
oh oh oh
una(?)
unaniwinda kila jasho kila kona, vizawadi zawadi kwangu havina maana,
oh oh oh
kibenteni sijazoea kufungiwa ndani,
utafute wewe Nije kula mimi
kibenteni sijazoea kufungiwa ndani,
kibenteni ninunuliwe Mpaka nguo ya ndani,