Wivu ft. Barnaba Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Intro..
No nooo mi naawe we na mimiii aii me aiii iii oooh.
Verse 1
Punguza wivu akiongea na mimi,
Unahisi mengine ya nini,
Na wakati ashaachana na mimi kitambo sanaa sanaaa,
Inamana baby uniamini,
Ndita unakunja za nini,
Nuru itakwisha usoni utachalalaaa,
Mi na yeye siunajua kwamaba tunalea mtotoo tuuu pekee,
Nikipiga simu nawasalimu na hakuna kingine,
Naomba nielewe japo wasiwasi ndo akili zenyewe ebu niamini yamini nimekula na wewe,
Hivyo baby usivimbe wala usinune siunajua damu nzito kuliko maji cha msingi mipaka nisivuke.
Chorus
Naumiaga nikikuona na simanzi,
Me sina haja na yeye yaliishaga mapenzi,*2
Verse 2
Intro... yeye ye wowo wo ayaya ya ayaya ayaya yaaagaa yeeh.
Penzi kalisaga na kinu alishanipaga wazimu, tena na udesi kachachuka kama kaekwa ndimu,
Mwali kiranga ukome yake ya kua uyaone nimekua nayashuhudia sasa,
Kuvunjika kwa penzi letu alikutanaga na vibaraka waja paga maneno uhu uo uooo ooh,
Mi na yeye siunajua kama tunalea mtoto tu pekee nikipiga simu nawasalimu hakuna kingine,
Naomba nielewe japo wasiwasi ndo akili zenyewe,
Ebu niamini yamini nimekula na wewe,
Hivyo baby usivimbe wala usinune,
Siunajua damu nzito kuliko maji cha msingi mipaka nisivuke