Tuwesare ft. Mr Blue Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2018
Lyrics
Tuwesare ft. Mr Blue - Beka Flavour
...
Unajua mapenzi ni ya wawili Watatu ni uongo kudanganyana Sungura na Fisi kitendawili Mwisho wa siku bure tunagombana Siunajua vile nakupenda wewe Hata macho sitazami pembeni Nimeumbwa me kwaajili yako wewe Matamanio basi weka pembeni
Nikikukosea am sorry Nakuomba coz nakupenda wewe Maneno mengi huwaga sio kweli Wanaomba me niachane na wewe Moyo wangu kwako ulisha dondoka Nimekwama kama gari kwenye tope Na kidonda me mwenzako nachechemea Kwenye shida kwenye raha tufe wote Maisha magumu tunayo yapitia Funga swaumu usinichoke my dear
Mungu ndo nguzo ya kwetu kwa dunia
Riziki etu ipo siku atatu patia Wapanguse my boo wanaokuja kwa gia Eti pesa gari nyumba watakupatia Nimekuchora tatoo moyoni malikia Wewe na mimi tu tuishangaze dunia Nitachana nywele zako me ndo chanuo Naanika nguo na vibanio Simu sina vocha we ndo salio Ooh eeh nakupenda sana Make you dance make you dance Mommy ooh Safisha moyo wangu mwenzio Yani tuwe sare ng'ari ooh Ooh eeh Originali mama Najua we ni kitu bora Ila lazima nikuboreshe Kwa maji ka mtoto mdogo Lazima nikuogeshe Utamu siwapi wenzako Lazima nikuonjeshe Nisikuchoshe nikupe vyote Mpaka utosheke Kitaani sekeseke Kitandani hauna mapepe Acha mwanaume nijiweke Posa nipeleke Karibu home temeke Tule tushibe tucheke Habari wapeleke Sikuachi mpaka kieleweke Sijisifii kuwa na bonge la demu Najivunia wee ndani ya Bonge la demu Ah maisha furaha raha kila sehemu Life tough ila kichaa nna bonge la demu Nitachana nywele zako me ndo chanuo Naanika nguo na vibanio Simu sina vocha we ndo salio Ooh eeh nakupenda sana Make you dance make you dance Mommy ooh Safisha moyo wangu mwenzio Yani tuwe sare ng'ari ooh Ooh eeh Originali mama Usiwape chansi wengine basi Chetu kiapo me na we kitimiee Moyoni raha kababy maa Zaidi yako me sina kimbilio Unanitoshaa sina tamaa Kwani ni kipi wamekuzidi wenzio Usiwape chansi wengine basi Chetu kiapo me na we kitimiee Moyoni raha kababy maa Zaidi yako me sina kimbilio Unanitoshaa sina tamaa Kwani ni kipi wamekuzidi