![Pasi Ya Pambe ft. Christian Bella](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/05/17/8d8f2bd2604d4da98cca4df24ab6d5f6_464_464.jpg)
Pasi Ya Pambe ft. Christian Bella Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Intro....
holaaa laaa holaleee holaaa kipenzi changu wewe.
Verse1
Napenda ukicheka nacheka na wewe,
Napenda uwe nafuraha sipendi nikukele,
Napenda tuishi wote daima na milele,
Sio leo tu kesho tuachane,
Mwenzako sina amani bila wewe,
Na nauguza mtima nisipo kuona wewe,
Mazima zima nimezama me kwako wewe,
Ukitokea dosari vyema tusamehane,
Sokiatikinga nakukufa cherie ,
Yebanalingaka yooh namingii iiih,
Shenteme shenteme shenteme ooh baby,
Sifichi mwenzio nakupenda sanaaa,
Ukinifanyia unyama ntateseka sana,
Na yao mitandao wataniandama,
Nikiachana na weeh ntakosa chakusema,
Eeehii hii hououo,
Eeehii hiii hououo,
Please my babe mimi nichunge chunge,
Sema unachotaka usijivunge vunge,
Please my babe mimi nichunge chunge,
Sema unachotaka usijivunge vunge.
Houou jivunge vunge.
Chorus
Nakapendaah tuacheni msibane bane bane,
Nakapenda kashasema amenichagua,
Pasiii ya pambeeeh,
Pasii ya pambeeeh,
Pasii ya pambeeeh ,
Pasii ya pambeeeh.
Verse 2
Nakwambia ukweli mama aah kutoka moyoni iih,
Wendo waubaniiih,
Sijutiii kuwa na wewe eeh
Weeh ndo chaguo langu yuh,
La fille de mereeve eeh
Mama wengine wanini mimi kwako nishafika aah,
Safari yote ya mapenzi uwa ni vita aah,
Kuwa makini namadui, oyebite ke centoi na vie na Pas nde censeeeh,
Bayebite ke centoi ma vie na pas de censee eeeh,
Boyebiselanga bango batika biso kimia aaah,
Usiwape tunda walilee eeeh
Zaidi yangu mwenyewe eeeh
Na penzi lidumu mileleeeeeh
Nitakuwa naweeh kwenye shida na rahaa.
Aaah please my babe mimi nichunge chungeeh sema unachotaka
Usijivunge vunge,
Mama nangayeeeh eeeh eeh,
Cherie nangayee eeh eeeh
Mama yabana nanga aah.
Mama yabana nanga aah.
Cherie ya bareve nanga aaah aah.
Chorus
Nakapenda twacheni msibane bane eeh,
Nakapenda kashasema amenichaguah,
Pasii ya pambeeeh
Pasii ya pambeeeh
Pasii ya pambeeeh
Pasii ya pambeeeh