Kila Wakati Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2022
Lyrics
Kila Wakati - The Saints Ministers
...
nina kuhitaji
nimpofu mimiii
unishike mkono
kwako napata nguvu
nina kuhitaji
nimpofu mimiii
unishike mkono
kwako napata nguvu
kila wakati
nakuhitaji bwana
kila wakati
unilinde Jehovah
kila wakati
nakutegemea
kila wakati
wewe watosha kwangu
kila wakati
nakuhitaji Bwana
kila wakati
unilinde Jehovah
kila wakati
nakutegemea
kila wakati
wewe watosha kwangu
ninakuja kwako nipokee mimiii
nisafishe niwe safi nifae mbele zako
ninakuja kwako nipokee mimiii
nisafishe niwe safi nifae mbele zako
kila wakati nakuhitaji Bwana
kila wakati unilinde Jehovah
kila wakati nakutegemea
kila wakati wewe watosha kwangu
kila wakati nakuhitaji Bwana
kila wakati unilinde Jehovah
kila wakati nakutegemea
kila wakati wewe watosha kwangu
kila wakati nakuhitaji Bwana
kila wakati wewe watosha kwangu
kila wakati nakutegemea
kila wakati wewe watosha kwangu