Nifundishe Njia Zako Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2019
Lyrics
Nifundishe Njia Zako - The Saints Ministers
...
1. Nifundishe njia zako Bwana wangu
Nifundishe na habari zako
uongozo wako wa neema , nifundishe
kwa nyayo zako ,safi nitembee.
kwa Imani Wala si kwa uwezo wangu,
mwanga wa mbingu niongoze
nimetoka mbali niendako karibu, sana
umbali huu ,wewe ni Ebenezer