Ndoa,Mfano bora. Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2015
Lyrics
Ndoa,Mfano bora. - The Saints Ministers
...
ndoa ni mpango takatifu tangu mwanzo ujumbe njema hutokao kwa baba yaitajika hekima kuitunza hadi kifo kiwatenganisha
mke si kidude cha kujaribu miguu yako mume si kipaza sauti ya kupigia ya kelele mpendaneni msichokozane amani ya bwana iwe ndani yenu×2
kazi kwenu sasa maisha mwenyu mdumu milele kwenye upendo wa yesu ni mungu pekee aweza kuwalinda na kutatua mashaka yenu ya maisha
muwe mfano bora kwa watoto wenyu waonyeshe njia ile ya uzima ya wokovu nanyi watoto wote watiini wazazi wenu mibaraka yake mungu tawakirimia×2
mke si kidude cha kujaribu miguu yako mume si kipaza sauti ya kupigia ya kelele mpendaneni msichokozane amani ya bwana iwe ndani yenyu