Mungu Ajibu Maombi Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2018
Lyrics
Mungu Ajibu Maombi - The Saints Ministers
...
Mungu Ajibu Maombi_Saints Ministers
(Unapoomba, nitaje jina,
Omba Mungu anikumbuke,
Ni mnyonge mimi,
Sina uwezo,
Kwa maombi (n)'tapata nguvu.)*2
Unapoomba, omba kwa imani,
Maombi atayasikia,
Unapoomba, uwe mnyenyekevu,
Maombi atayajibu.
Kulala kwetu, kuamka kwetu, kuishi kwetu ni neema,
Tumaini letu li kwako Bwana.
Abudu, ungama, shukuru kwa dua zetu, tumaini letu li kwake Bwana.
Unapoomba, omba kwa imani,
Maombi atayasikia,
Unapoomba, uwe mnyenyekevu,
Maombi atayajibu.
Mungu Ajibu maombi, maombi, maombi, Mungu Ajibu maombi, maombi ya watu wake.
(Uliza(uliza), Amini(amini),Pokea(pokea),Shukuru(shukuru), (ku)'lingana ahadi zake, ombi lako litajibiwa.)*2
Mungu Ajibu maombi, maombi, maombi, Mungu Ajibu maombi, maombi ya watu wake.
Unapoomba, omba kwa imani,
Maombi atayasikia,
Unapoomba, uwe mnyenyekevu,
Maombi atayajibu('tayajibu).