Mifupa Yaishi Tena Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2014
Lyrics
Mifupa Yaishi Tena - The Saints Ministers
...
Kuna matumaini, mti ulio katwa utaweza chipuka tena na kutoa matawi mapya
punde tutayaona mauwa yametameta na mwishowe tutapata matunda kwa mti huo ×2
CHORUS:
Aajikwaaye hataanguka Mungu muumba atamtengeneza wamgojao bwana watapata nguvu watapaa kama ..