Zangu ni Shukrani Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2015
Lyrics
Zangu ni Shukrani - The Saints Ministers
...
Nasifu shani zako Elohim safari mbali umenileta sina budi kuzishukuru hisani zako kuu

kwa ukarimu wako nabafikiwa nitatoa nini kwako Bwana mie ni milinzi ulivyoagiza Eden
zangu zangu zangu zanguuu zangu ni shukrani Mungu
Sina neno uwapo karibu nipata lolote si taabu kifo na kaburi haviumi nitashinda kwako

Nilalapo nikuone wewe gizani mwote nimulikiwe nuru za mbinguni kweli hazikomi siku zangu zote kaa nami Bwana
zangu zangu zangu zanguuu zangu ni shukrani Mungu
zangu zangu zangu zanguuu zangu ni shukrani Mungu
Mapenzi yako sasa yatimie wewe mfinyanzi mimi tope unifutie dhambi zote unisafi Bwana

Natoa vitu vyote kwako leo maisha mali moyo vipokee mwili wangu wote ni hekalu lako niongoze Bwana ntakuimbia
zangu zangu zangu zanguuu zangu ni shukrani Mungu
zangu zangu zangu zanguuu zangu ni shukrani Mungu
(Zanguuu)zangu zangu zangu zanguuu zangu ni shukrani Mungu

(Zanguuu)