Tusichoke Safarini Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2018
Lyrics
Tusichoke Safarini - The Saints Ministers
...
Tusichoke safarini japo mawimbi yapiga tusihofu Mungu yupo
Kiongozi wa mwendo Yesu mwana wa Mungu safari tu salama. (X2)
( chorus)
Usihofu japo safari ndefu Imani daraja yatuvusha ng’ambo,
Twakaribishwa naye kuhani mkuu
Hallelujah tumefika nyumbani
Waweza kuwa na mashaka duniani mwenzangu usitie hofu yupo ,
Aona masumbuko yako yote, yatakwisha tukifika juu (X2)( kanyaga)