Wimbo Mpya Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2018
Lyrics
Wimbo Mpya - The Saints Ministers
...
Ninaimani nitaimba wimbo mpya,
wimbo wa washindi,
Nifikapo kando ya bahari ya kioo furaha gaya,
Yesu Kristo mkombozi wetu,atatuimbisha wimbo mpya,
Atanipa sauti nzuri kushinda hiii.
Wimbo haujaimbwa,
Tangu kuumbwa kwa dunia,
wimbo mtamu,
Mzuri ,
wimbo mpyaa,
Malaika hawautambui,
Wastaajabu kwa umbali,
hawauwezi,
hawafahamu,
wimbo huo,
Ninaimani nitaimba wimbo huo,
wimbo wa washindi,
Nifikapo kando ya bahari ya kioo furaha gaya,
Yesu Kristo mkombozi wetu,atatuimbisha wimbo mpya,
Atanipa sauti nzuri kushinda hiii.
Tarumbeta,
Vinubii,
na zeezee,
zasikika kote,
ni anga la muziki,
uchezwao kwa ustadi mkuu
wimboo,
wa sifa,
kwa kuhani mkuu.
Ninaimani nitaimba wimbo mpya,
wimbo wa washindi,
Nifikapo kando ya bahari ya kioo furaha gaya,
Yesu Kristo mkombozi wetu,
atatuimbisha wimbo mpya,
Atanipa sauti nzuri kushinda hiii.
Wale wazee ishirini na wanne,
wainama na kuinuka,
wakimsujudu Bwaanaa,
mkuu wa majeshi,
hapo ndipo penye subira ya watakatifu,
waloshika amri zake na imani yake yesu.
Tazama nikaona,
mwanakondoo amesimama,
juu ya mlima zayuni,
na watu mia na arubaini wa wanne elfuuu,
vipaji vya nyuso zao,
jina la baba na mwana,
Nikasikia sauti toka mbiinguni,
kama ya maji mengi,
na kama ya radi kuu,
kama ya wapiga vinubi,
wakipiga vinubi vyao,
sifaaa kwa kuuuhani mkuu
Sifa kwa kuuuhani mkuuu
Tunaimani tutaimba wimbo mpya,
wimbo wa washindi,
Tufikapo kando ya bahari ya kioo furaha gaya,
Yesu Kristo mkombozi wetu,atatuimbisha wimbo mpya,
Atatupa sauti nzuri kushinda hiii.
Tunaimani tutaimba wimbo mpya,
wimbo wa washindi,
Tufikapo kando ya bahari ya kioo furaha gaya,
Yesu Kristo mkombozi wetu,atatuimbisha wimbo mpya,
Atatupa sauti nzuri kushinda hiii.