Mifulizo Ya Baraka Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2018
Lyrics
Mifulizo Ya Baraka - The Saints Ministers
...
Mungu Elshadai wetu,matendo makuu
umetukamilisha twajivunia mifulizo ya baraka zako
Twala,twanyua,twalala twamka
uaminifu wako kwetu mkuuu uu
hitaji letu tunalo baraka zako zafunuliza
twashukuru kwazo
Hannah alibezwa kwa kukosa mtoto
hakukataa tamaa aliomba
wakati wa Mungu ulipofika samueli kazaliwa
baraka nyumbani mwake
Mungu Elshadai wetu matendo yako makuu
umetukamilisha twajivunia mifulizo ya baraka zako
waangalieni ndege wa angani hawapandi Wala hawavuni
(hawakusanyi ghalani ila baba wa mbinguni huwalisha hao*2)
twala twanyua twalala twamka
(hitaji letu tunalo baraka zako zafunuliza twashukuru kwazo*2)
wengine walahoi na we Walala kusaza
wahitaji Nini
mbona walilia cheo wengine hawana kazi
wahitaji Nini
wengine wamelazwa na wewe huna afta mshukuru mungu
Hesabu mibaraka moja mojaaa
aogeleavyo papa baharini
(mwanga wa jua hung'aa kote
mvua ya masika hutulia ilivyo baraka zake)*2