![Ati Twonane Mtoni.](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/03/12/624386e03bb745f39cb55c9043699c48.jpg)
Ati Twonane Mtoni. Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2015
Lyrics
Ati Twonane Mtoni. - The Saints Ministers
...
tuonane mtoni? Maji mazuri ya mbingu;
Yanatokea mwangani, penye kiti cha Mungu.
Chorus
Naam, tuonane mtoni! Watakatifu, kwenu ni mtoni!
Tutakutanika kule mtoni penye kiti cha Mungu.
2
Tukitembea mtoni na Yesu Mchunga wetu,
Daima tu ibadani usoni pake kwetu.
3
Tukisafiri mtoni tutue ulemeao
Wema wa Mungu yakini; una taji na yao!
4
Kwang`ara sana mtoni cha Mwokozi ni kioo,
Milele hatuachani tumsifu kwa nyimbo.
5
Karibu sana mtoni, karibu tutawasili,
Mara huwa furahani na amani ya